World health day

Afya ni urithi wetu Leo tunasherehekea Siku ya Afya Duniani kwa kujitahidi kudumisha mwili na akili zetu kuwa salama.

Mwili wenye afya na nguvu , akili yenye utimamu ndio mtaji wetu.

Wacha tukumbuke kuzingatia lishe bora, mazoezi, na afya ya akili kila siku.

#AfyaYaVijana
#EYA #AfyaDuniani
#SikuYaAfyaDuniani

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

en_GBEnglish