Kugawa Upendo na Maarifa kwa Wasichana
EYA imeendelea kusimama bega kwa bega na wasichana wenye umri wa miaka 14–25 kwa kuwapa elimu kuhusu matumizi sahihi ya taulo za kike na umuhimu wa usafi wa hedhi. Lengo letu ni kuhakikisha kuwa hakuna msichana anayekosa furaha, kujiamini, au kukatisha masomo yake kwa sababu ya hedhi. Kupitia elimu, mazungumzo ya wazi, na ugawaji wa […]
Kugawa Upendo na Maarifa kwa Wasichana Read More »









