Katika kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, EYA tunatambua na kuthamini mchango mkubwa wa wanawake na wasichana katika kujenga jamii yenye usawa, haki na maendeleo.
Tunaendelea kusimama pamoja kuhakikisha kila mwanamke na msichana anapata nafasi sawa, sauti yake inasikika, na haki zake zinaheshimiwa bila ubaguzi.
Hongera wanawake wote kwa ujasiri, nguvu na mchango wenu katika dunia yetu.
EYA – Pamoja dhidi ya ubaguzi, kwa usawa na haki kwa wote.

