Author name: Lusungu Nkwera

INTERNATIONAL DAY OF HAPPINESS20 MARCH

As we celebrate the International Day of Happiness,EYA – Empowerment of Youth and Awareness envisions a world where everyone experiences joy, unity, and well-being. We believe that true happiness begins with:✔ Equality✔ Justice✔ Mental well-being✔ Strong, supportive communities EYA wishes everyone around the world happiness, peace, and success. Together, let’s build a world where every

INTERNATIONAL DAY OF HAPPINESS20 MARCH Read More »

10th march Women judge day

Katika kuadhimisha Siku ya Majaji Wanawake Duniani, sisi EYA tunatambua na kuthamini mchango mkubwa wa wanawake majaji katika kusimamia haki, usawa na utawala wa sheria katika jamii.Wanawake katika mfumo wa mahakama wanaendelea kuwa sauti muhimu katika kuhakikisha kuwa haki inapatikana kwa wote bila ubaguzi. Uongozi wao unaimarisha imani ya jamii katika mfumo wa sheria na

10th march Women judge day Read More »

08 march woman’s day

Katika kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, EYA tunatambua na kuthamini mchango mkubwa wa wanawake na wasichana katika kujenga jamii yenye usawa, haki na maendeleo. Tunaendelea kusimama pamoja kuhakikisha kila mwanamke na msichana anapata nafasi sawa, sauti yake inasikika, na haki zake zinaheshimiwa bila ubaguzi. Hongera wanawake wote kwa ujasiri, nguvu na mchango wenu katika dunia

08 march woman’s day Read More »

International Day for Ear and Hearing Loss 5 March 2026

At EYA, we believe that everyone deserves the right to hear, to speak, and to be heard. We call upon communities, health providers, policymakers, and young people to prioritize ear and hearing health. Early detection and timely intervention can prevent lifelong challenges and improve quality of life. Let us work together to promote inclusive health

International Day for Ear and Hearing Loss 5 March 2026 Read More »

en_GBEnglish